Kimekwei

Kimekwei ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamekwei. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimekwei imehesabiwa kuwa watu 1200; hata hivyo ni kizazi cha wazee hasa, na lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimekwei iko katika kundi la Kinimboran.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search